Leo jumamosi Habari UZA katika magazeti karibu yote ni mgomo wa jana wa madereva wa vyombo vinavyosafirisha abiria, Dar es salaam ndiyo imepewa kipaumbele katika maandishi na picha kuhusu mgomo huo.
Katika michezo habari UZA leo ni ushindi wa Twiga stars, timu ya taifa ya wanawake ambayo licha ya kipigo hapo jana, imefuzu kuendelea na michuano.
Hii iwe nafasi kwako mdau kuzipitia habari hizi kubwa.
KURASA ZA MICHEZO
No comments:
Post a Comment