Leo katika magazeti ya hapa nyumbani majina ya watu hawa ndio yamepewa dhamana ya kuuza magazeti; Zitto Kabwe, Mizengo Pinda, Askofu Gwajima, Mtanzania wa alshabab, Ben Mkapa, Lowasa, na Rais Kikwete,.. Haya ndio miongoni mwa yanayouza magazeti siku ya leo.
No comments:
Post a Comment