Thursday, April 9, 2015

AJALI... MABASI MAWILI YAMEGONGANA MUDA MFUPI ULIOPITA, ZIPO TAARIFA ZA MAJERUHI NA VIFO..


Kuna Taarifa hivi punde ni kwamba mabasi ya
NGORIKA na RATCO yamegongana uso kwa uso
eneo la Msata na kusababisha vifo kadhaa.
Taarifa za WANAOSADIKIWA kuwa wamefariki mpaka sasa ni kumi. 
Chanzo picha... Jamii forum. Com

No comments: