KIKWETE KASEMA WAJUMBE TOKA ZANZIBAR WALIKUWA 219, SAFI SANA. 67 WALITOKA NJE = UKAWA, 7 WALISEMA HAPANA BUNGENI, MWANASHERIA MKUU ALISEMA HAPANA, NA ABASI HAKUPIGA, JUMLA YA KURA ZILIKUWA 76, 4 WALIOKUWA MAKKAH HAWAKUPIGA KURA KWA MUJIBU WA WARAKA ULIOTOKA, MAANA YAKE WALIOPIGA KURA KUTOKA ZANZIBAR ZA NDIYO N I 139, KIKWETE ANASEMA ILI KATIBA IPITE ILIHITAHI KURA 146.
VIELELEZO ALIVYOVIWEKA NI HIVI HAPA
Mmmmmmhhhh... tafakari huru
No comments:
Post a Comment