Friday, February 21, 2014

MAJI YA KENYA MARUFUKU TARIME


MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME BWANA VENUS MWAMENGO AMEPIGA MARUFUKU WAFANYABIASHARA WANOUZA MAJI YA KUNYWA YAJULIKANAYO KWA JINA LA PARRIS YANAYOTOKEA NCHI JIRANI YA KENYA KWA MADAI KUWA MAJI HAYO HAYANA UBORA WA VIWANGO VYA TBS.
MWAMBENGO AMESEMA KUWA MAJI HAYO YAMEKUWA YAKILALAMIKIWA NA BAADHI YA WANANCHI WA MJI WA TARIME KUWA SI SAFI NA SALAMA HUKU WENGINE WAKILALAMIKA KUHARISHA BAADA YA KUNYWA MAJI HAYO.
BILA KUPITISHWA BODA-SIRARI KWENYE MAMLAKA YA MAPATO TRA. AIDHA BAADHI YA WANANCHI WA MJINI TARIME WAMEKILI KUWA MAJI HAYO SI SALAMA KWANI BAADHI YA MAKOPO MENGINE YA MAJI UKUTWA YAKIWA NA UCHAFU. HATA HIVYO BAADHI YA WAFANYABIASHARA WA MA
MKURUGENZI HUYO AMESEMA KUWA MBALI NA MAJI HAYO KUWA SI SAFI NA SALAMA YAMEKUWA PIA YAKIINGIZWA KATIKA MJINI HUO KINYEMERA AMBAPO UINGIZWA KWA NJIA YA USAFIRI WA BAISKERI YAKITOKEA KENY
AJI YA FARRISI WALISEMA KUWA MAJI HAYO NI SALAMA ILA NI WIVU TU KWA MAKAMPUNI YA MAJI NAKWAMABA WAUZAJI UYANUUA KWA BEI RAHISI AMBAPO BOKSI MOJA LA MAJI MAKUBWA NI 10,000 NA MADOGO 6500 UKU MAJI MAKUBWA YA TANZANIA AINA YA KILIMANJARO NA DASSAN KWA BOKSI MOJA YAKIUZIWA 13,000, MADOGO 10,000 NA HIVYO KUWAINGIZIA HASARA.
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

No comments: