MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YAMETANGAZWA LEO MUAINISHO HUU HAPA
Asilimia 42.19 wamepata DARAJA 0, kati ya hao wavulana ni 78,950 na wasichana ni 72,237
DARAJA LA NNE 36%, Wavulana ni 63,987 na wasichana ni 62,841.
DARAJA LA TATU 12.78% , wavulana ni 27,904 na wasichana ni 17,113.
DARAJA LA PILI 16.17%, wavulana ni 14,167 na wasichana ni 7,561.
DARAJA LA KWANZA 2.15%,(sawa sawa na 7579) ,kati ya hao wavulana ni 5,030 na wasichana ni 2,549
KUTAZAMA MATOKEO BONYEZA HAPA
No comments:
Post a Comment