Wednesday, November 27, 2013

NYAMALANGO SHULE YA MSINGI WAPANDA MITI 300 LEO HII

Picha  na Rajab HASSAN
TAKRIBANI MITI ELFU TATU(3,000) IMEPANDWA LEO, KATIKA SHULE ZA MSINGI ZA NYAMALANGO NA SWEYA WILAYANI NYAMAGANA JIJINI MWANZA, KATIKA ZOEZI MAALUMU LILILODHAMINIWA NA SHIRIKA LA UHIFADHI MAZINGIRA LA TECO NA SHIRIKA LA BIA TANZANIA (TBL).

No comments: