Thursday, October 17, 2013

ZITTO KABWE AVIJIBU VYAMA VYA SIASA BAADA YA KUMSHAMBULIA

NUKUU KUTOKA UKURASA WA FACEBOOK WA ZITTO 
"Vyama vya siasa kunishambulia sio jibu la matakwa ya kisheria ya kutaka vikaguliwe. Msajili wa vyama hana taarifa za ukaguzi. Nape anapiga kelele kuwa wamekaguliwa, anafanya siasa kwenye masuala ya kisheria. Kama anazo taarifa za ukaguzi zilizokaguliwa na CAG apeleke kwa Msajili sio kupiga kelele. Mimi nafuata sheria na kanuni za Bunge zinazotaka kusimamia matumizi ya fedha za umma. Ruzuku ni fedha za umma"
GAZETI LA TANZANIA DAIMA
 GAZETI LA MWANANCHI


No comments: