Saturday, October 19, 2013

KILICHOKUWA KINAENDELEA USIKU HUU, KUTOKA TAFES YA CHUO CHA SAUT MWANZA

Usiku huu wanafunzi wa chuo cha SAUT Mwanza wamekuwa na mkesha wa kusifu na kuabudu ambao umepewa jina la Revival flames Campus Night, shughuli hii iliendda sambamba na mahubiri, lakini nafasi kubwa ilitawaliwa na Sifa na kuabudu.                   
TAFES Praise team na vikundi vingine vilianzisha shughuli za kusifu na kuabudu, na baadae shughuli ilikuwa chini ya uongozi wa Glorious Worship Team, kutoka Dar es salaam. 

 TAFES PRAISE TEAM WAKIONGOZA JAHAZI SHUGHULI IKAHAMIA KWA GLORIOUS WAORSHIP TEAM...Sebene ndani ya YESU likatumbizwa, watoto wa Mungu wakajiachia uweponi.....
Anafahamika kwa jina la Emma Solo,  ni mpigaji wa gitaa la solo kutoka GWT.
No comments: