Thursday, March 28, 2013

KAMA WEWE NI MPENZI WA HIP HOP...HII INAKUHUSUPRODUCER PALA MIDUNDO AMBAYE PIA NI MIONGONI MWA WAANDISHI WA HABARI WA RADIO UHURU FM PALE JIJINI DAR ES SALAAAM....... AZID KUMNG'ARISHA MC ZAIID IKIWA NI TAKIBAN MWEZI MMOJA TOKA ALIPOACHIA MZIGO WA P "THE MC NI NOUMA" KITU KIPYAAAAAA KIMEACHIWA AKIWA DK REMY ONGALA.......NA HII NI MOJA KATI YA MISTARI KATIKA NGOMA MPYA KABISA INAYOITWA KIPENDA ROHO TOKA KWA MC MKALI KWA MASHAIRI ZAIID AKIMSHIRIKISHA DK. REMMY
.... kipenda roho, katoto kazuri sio masihara kakisema acha rap sitokacha wala,,,,,,by zaiiid ft dokta remmy kipenda roho, hatari sana....

Producer Palla
Rapa..Zaidi

No comments: