Saturday, January 5, 2013

ZITTO KABWE AMEANDIKA KUHUSU VILIO NA MISIBA UJIJI KIGOMA


Ujiji vilio na misiba. Watanzania wenzetu wa mkoa wa Kigoma wamezama baada ya boti kupinduka. Mpaka sasa watu 14 wamefariki na kutambuliwa. Boti lilikuwa linatoka Kalya na limezama karibu na Herembe kusini mwa Ziwa Tanganyika. Kuna tatizo kubwa sana la mawasiliano katika eneo hili licha ya kukaliwa na watu zaidi ya 170,000. Mungu alaze roho za marehemu mahala pema peponi, amina
Like ·  ·  · about an hour ago via BlackBerry · 

No comments: