Friday, January 25, 2013

VURUGU ZA MTWARA LEO HII, PICHA NA STORY HIZI HAPA

KUHUSU VURUGU ZA MCHANA KUTWA LEO MKOANI MTWARA, kusini word press wameandika:- Habari zahivi punse zinaeleza kuwa nyumba ya Hawa Ghasia waziri wa Tamiseni iliyopo mtaa wa sinaniiimechomwa moto.
Hadi saa 2 usiku bado vurugu zinaendelea, polisi wanafyatua mabomu ya machozi na wananchi wamefunga barabara kwa magogo, mawe nakuchoma matairiya magari…endeleaa kutembelea KUSINI kujuamuendelezo wake
kITUO KIDOGO cha polisi cha Kiangu, eneo la Msalaba mwekundu kimevamiwa na wananchi…….

Ukumbi wa Mahakama ya mwanzo Mtwara , ukiwa unawaka moto usiku huu 
KASEMBE WA CHANNEL TEN APIGWA JIWE KICHWANI
No comments: