Monday, January 7, 2013

MESSI TENAAAAA !!!!


Lionel Messi
Lionel Messi
Mchezaji nyota wa timu Barcelona na timu ya taifa ya Argentina, mshambuliaji Lionel Messi, ameshinda tuzo ya Ballon d'Or kwa msimu wa nne mfululizo.
Messi, ambaye kwa mwaka jana 2012 alikuwa na magoli 91, amewashinda wachezaji wenzake wa Barcelona Andres Iniesta na Mchezaji wa Real Madrid's C.Ronaldo.
Lionel Andrés "Leo" Messi ni mchezaji mwenye asili ya Argentine, anacheza nafasi ya mshambuliaji, anaichezea timu ya ligi kuu ya nchi hiyo inayojulikana kama La Liga, timu yake ni FC Barcelona, na pia ni mtu muhimu katika timu ya taifa lake. Anaitumikia timu ya taifa kama kapteni.

Tuzo: Mchezaji bora wa mwaka (FIFA)Ballon d'OrThe Pichichi Trophy
Kazaliwa: June 24, 1987 (umri 25), Rosario
Urefu: 1.69 mita

No comments: