Tuesday, December 25, 2012

KRISMAS NA MAMBO YAKE ...JAMII FORUM WAMENUKUU REDIO ONE ... JAMBO HILI LISOME LINASIKITISHA


Default Zanzibar: Padre adaiwa kupigwa Risasi

Kwa mujibu wa Breaking News Sasa hivi toka Radio One, Padre anayejulikana kwa jina la Ambrose Mkenda amepigwa Risasi na Watu wasiofahamika kwenye gate la nyumbani kwake wakati akifunguliwa gate aingie nyumbani kwake maeneo Kitomondo Mjini Zanzibar, ambako ndiko makazi yake yalipo akiwa ndani ya gari aliyokuwa akiendesha pekee yake.

Hali yake sio nzuri kwani Risasi aliyopigwa imemdhuru maeneo ya mdomoni.

Waliompiga Risasi Padre huyo inasemekana ni watu waliokuwa kwenye pikipiki, ambao walimvamia akisubilia afunguliwe gate kuingia nyumbani kwake.

Kuna nini? Katika siku muhimu kwa waumini wa Kikristo kufanyika kwa tendo kama ilo kwa kiongozi wa madhehebu makubwa kama Roman Catholic.

Wanaojua kinachojili huko Zanzibar watujuze Tafadhari kulikoni, katika siku njema kama hii ya Christmas.

NOTE: 
Ujumbe Mkuu wa Kanisa La Roman Catholic katika Christmas ya mwaka huu 2012:

"UPENDO NA AMANI NDIO UJUMBE MKUMBWA WA SIKUKUU HIYO"
Last edited by DSN; Today at 22:16.
Dark City likes this.

No comments: