Friday, December 7, 2012

ALICHOKISEMA MNYIKA BAADA YA KUSHINDA KESI YAKE KWA MARA YA PILI LEO


Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa kila mtu kwa nafasi tofauti iwe kwa sala, matashi mema, kuungana nami mahakamani, salamu kwa kheri kwa njia ya simu, SMS, humu Facebook, na mitandao mingine nk. Asanteni sana!!

Mshikamano mlioonyesha uzidi kudumu katika jitihada mbalimbali za kuleta maendeleo ndani ya Jimbo la Ubungo na nchi kwa ujumla.

Nawaahidi kuendelea kuwatumikia na kuwawakilisha.

Pamoja Tunaweza!!
Like ·  ·  · 40 minutes ago · 

No comments: