Monday, November 26, 2012

MPYA ZAIDI, RPC TANGA ATHIBITSHA KIFO CHA SHARO MILIONEA ,


Sharo,we will mic u.Gone too soon meeen!
Like ·  · 10 minutes ago via mobile · 

Msanii mwingine wa tasnia ya filamu pamoja na mziki TANZANIA, maarufu kama SHARO MILIONEA(SHAROBARO MEEN), afariki Dunia leo huko Muweza TANGA., Inalillahi Wainailaih Rajiun.
Like ·  ·  · 12 minutes ago via mobile · 
ENZI YA UHAI WAKE........

KAMANDA WA POLISI MKOANI TANGA AMETHIBITISHA...... ASEMA NI MIDA YA SAA MBILI USIKU MAGUZUNI SONGA , ALIKUWA ANAENDESHA TOYOTA HARIER, CHUMBA CHA MAITI , HOSPITALI MUHEZA TANGA, ALIKUWA PEKE YAKE KWENYE GARI

No comments: