Friday, November 9, 2012

METHALI 14 ZA KILEO HIZI HAPA

1."Gari la kuvutwa haliovateki"
2.kisigino hakikai mbele
3.mganga haagizi tembele
4.wimbo wa taifa haupigwi disko

5.feni haiwashwi beach
6.mshikaki hauchomwi kwa jiko la gesi
7.hata bibi alikuwa binti
8.mke wa mtu sumu,mume wa mtu maziwa
9.kipara bila pesa ni kovu
10.mbwa hanenepi miguu
11.picha ya rais haina body guard
12.Mjini shule,kijijini tuition
13.saa ya ukutani haivaliwi mkononi
14.heshima pesa,shikamoo makelele tu..

ZIMEWEKWA KATIKA FACEBOOK NA AL-HABIB KISATU

No comments: