Wednesday, November 14, 2012

KINANA NDIE KATIBU MKUU WA CCM, MUKAMA APOTEZEWA

Abdulrahman Kinana-Katibu Mkuu wa CCM, Taifa
Wengine wanaiunda sekratarieti hiyo ni hawa hapa....
Mwigulu Nchemba-Naibu Katibu Mkuu (Bara)
Vuai Ali Vuai-Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
Nape Nnauye-Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi
Asha-Rose Migiro- Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa
Zakia Meghji-Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha
Muhamed Seif Khatib, Katibu wa NEC, Oganaizesheni
GUSA HAPA UZIONE SURA HAO WENGINE

No comments: