Tuesday, November 13, 2012

HABARI MPYA ..... MOTO MKUBWA KATIKA KIWANDA CHA FIVE STAR

GRACE KINGALAME AMEANDIKA HIVI ...

Moto mkubwa umezuka katika kiwanda cha uchapishaji cha FIVE STAR Vingunguti,nilikuwa huko tangu saa7 usiku,ndo naingia job ili nikujuze yaliyojiri bdae kidogo,Stay tuned on TBC 1.
Like ·  · 4 hours ago · 

No comments: