Friday, October 26, 2012

KWA MUJIBU WA MDAU JESCA KUPITIA FACEBOOK HAYA NDIO MAMBO YA MSINGI KATIKA MAISHA YATAMBUE

Mambo 3 Fanya Kwa Kufikiria Sana.
1. MAPENZI
2. MAONGEZI
3. MAAMUZI

Vitu 3 Havimngoji Mtu.
1. MAUTI
2. WAKATI
3. UMRI

Mambo 3 Usiyaone Mepesi.
1. DENI
2. MAJUKUMU
3. MARADHI

Mambo 3 Usipoyafanya Ujue ni Motoni
1 MAOMBI
2 WOKOVU
3 SADAKA

Mambo 3 Yafikiri Kila Mara
1 MUNGU
2 KIYAMA
3 MAUTI,

No comments: