Saturday, October 27, 2012

BONANZA LA BON FIRE SAUT MWANZA . ... MASS COM YALALA KWA GOLI 3 DHIDI YA PR

Waziri wa michezo (mwenye tisheti nyekundu begani) akipokea vifaa kwa ajili ya bonanza hilo
Timu wa mahusiano ya umma PR ambayo ilikipiga na Mawasiliano ya umma leo hii katika bonanza la BON FIRE. PR walishinda goli 3 -1. PICHA Migongo 1950


Timu ya mawasiliano ya umma MASS COM 

PICHA ZAIDI KUHUSU BONANZA HILI ZINAKUJIA HIVI PUNDE !!!!!

No comments: