Monday, September 3, 2012

WASEMAVYO WADAU BAADA YA KIFO CHA MWANGOSI


Kama mwandishi wa habari, nimesikitishwa, nimehuzunishwa lakini pia nimekasirishwa na kitendo cha polisi kumwua mwandishi wa habari Daudi Mwangosi wa Channel Ten huko Iringa. Duniani kote inaeleweka kuwa waandishi wa habari hawaguswi kwani wako kazini kama ambavyo wafanyakazi wa Msalaba Mwekundu! Niko tayari kusaini petition, tamko yoyote tutakayotoa kama waandishi wa habari, watanzania - tukitaka wawajibishwe wale wote waliohusika!
 ·  ·  · 3 minutes ago · 

No comments: