Hivi ndivyo Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten Iringa,Daud Mwangosi alivyouwawa,wanahabari mnasema nini kuhusu unyama huu?
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Naombeni muitoe hii picha tafadhali,inakiuka maadili,pia tumheshimu marehemu na familia yake..hata wewe isingekuwa vizuri kuona picha ya baba,mama,kaka,dada n.k katika hali hii..pia hapa tujiulize ni vyama,serikali,polisi au jamii ilaumiwe?
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Florah Magabe a Ion Lady napenda kuwapa pole UTPC na Iringa Press Club kufiwa na mwenyekiti wao David Mwangosi ambaye kifo chake kimetokea kwa kuuwawa kwakupigwa risali wakati wa akiwa kazini kwenye maandamano ya CHADEMA. Binafsi naalaani m...See More
— with John Mnyika and 38 others.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
R.I.P bro Mwangosi. Waandishi tuna mazingira magumu sana we need 2 be carefully, we need also to be Covered! Imeniuma sana hii.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
No comments:
Post a Comment