Tuesday, September 11, 2012

MAANDAMANDO WAANDISHI MWANZA LEO.....

MASWALI YA MSINGI

WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MWANZA TUNAJIULIZA:-


Kwa nini askari polisi wamegeuka kuwa wauaji?
Nani amewatuma polisi kufanya mauaji?
Kwa nini wanafanya hivyo hawachukuliwi hatua?
Ni nani anayewafanya polisi wawe juu ya sheria?Picha na Gsengoblog

No comments: