Friday, September 7, 2012

KAMA HUKUZIONA PICHA ZA KILICHOTOKEA LINDI KWENYE MGODI PICHA HIZI HAPA

STORY KIDOGO HAPA
Jana nilizungumza na mkuu wa wilaya hiyo na kasema, mgodi huo ulikuwa umefungwa lakini vijana hao walienda kinyume na taratibu.
Maafa yalitokea Ruangwa mkoani Lindi  katka kijiji cha Mnacho, Kata ya Nandagala na kusababisha vifo vya wachimbaji  madini saba kuaga dunia baada ya kifusi cha mwamba kuwafunika,waokoaji walijitaidi sana kupata miili hiyo japokuwa vitendea kazi vilikuwa duni.Majina ya miiili hiyo ni
CHAKODA(20) anadaiwa kuwa mkazi wa DAR-ES-SALAAM,
NYANG'NA(42) Mkazi wa MUSOMA,
UWESU BAKARI(25) mkazi wa RONDO LINDI,
MOHEMED OMARY(28) Mkazi wa MOROGORO,
BAKARI RASHID LIGANAGA(26) mkazi wa CHUNYU RUANGWA,
ADAM SAYAI Mkazi wa -BUNDA, 
RASHID HAMIS YASSIN mkazi wa -NACHINGWEA.

No comments: