Nikiwa kama ni mwenyekiti wa mtaa wa vibanda angani, ningependa kuelezea changamoto chache ambazo zinanikabili katika mtaa wangu, 1 ni kwamba wenyeviti hatujapewa elimu ya sensa, 2 wenyeviti hatujashirikishwa vyakutosha katika zoezi hili kw...See More
— with Jafari 'Young Scientist' Ndembo and 4 others.PAMOJA NA MENGI ALIYOANDIKA ANASEMA .....mwisho wito kwa watanzania wenzangu wote, Naamini kuwa mwaka 2015 nchi ya tanzania itachuliwa na chama pinzani hivyo tujiandikishe kwa wingi ili tuwape urahisi wa kutuletea huduma za msingi za kimaendeleo. TANZANIA 2012
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
ON THE WAY TO TUNDUMA NAWAHI SENSA NIHESABIWE!
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Sina sababu ya kuhesabiwa.
Nimewaambia kabisa kwangu wasifike. Situmii huduma yoyote ya Serikali. Kazi Private, Matibabu Hospitali Private, Maji kisima Private, shule Private, Usafiri Private, Polisi Payment, chakula na malazi Private, makazi Private, vinywaji Private, usingizi Private, pumzi free kutoka wa Mungu, sasa hawa jamaa wanataka kiunihesabu ili iweje?
Chat Conversation End

No comments:
Post a Comment