Thursday, July 12, 2012

NAPE NNAUYE BAADA YA KIKAO CHA BUNGE KUHAIRISHWA LEO MCHANA AMEANDIKA HAYA KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK


Kijana; Mbona umebeba kaniki mkononi?
Mwenzie; aaah!nakimbia bungeni kumvisha mkurugenzi wa habari na uenezi wa kile kikundi cha harakati, katoa tuhuma za uongo, kapewa muda kuzithibitisha kashindwa! Aibu sana!!
Kijana; oooooh! Kama ni hilo twende sote! Hivi wananchi wake wa jimbo la lango la jiji watamwamini kweli?!!
Mwenzake; Thubutu!!!kawa mdogo kama piritoni! Ndo maana nampelekea kaniki akafunike uso wake!!!
 ·  · 17 minutes ago via mobile · 

No comments: