Sunday, June 10, 2012

R.I.P BOB MAKANIKATIKA FACEBOOK BAADA YA TAARIFA HIZI


Inna Lillah, Bob Nyanga Makani, Katibu Mkuu wa kwanza wa CHADEMA, Mwenyekiti wa pili wa CHADEMA ametangulia mbele ya haki. Taratibu za mazishi tutawajulisha. Msiba upo nyumbani kwake Mbezi Beach jirani na Rainbow.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>


MY DEEP SYMPATHY AND CONDOLENCE TO CHADEMA NATIONAL LEADERS, MEMBERS, THE FAMILY AND RELATIVES FOR THE DEATH OF THE LEGEND BOB MAKANI. "We'll live to remember you Bob our fighter"
 ·  · 

No comments: