Tuesday, June 26, 2012

ONA MASANJA ..VITUKO VYAKEBinti kaenda kumuona mtaalamu wa mahusiano. Maongezi haya hapa mwanawane:

Binti: Naomba unisaidie kupata mchumba.
Mtaalam: Unataka mwanaume wa aina gani?
Binti: Nataka awe mchangamfu, awe anaweza kunihadithia stori tamtamu siku nzima, awe na uwezo wa kuniliwaza na kunibembeleza, asitoke ndani na asiwe mbishi.
Mtaalam: Sawa, olewa na redio. — with Fanuel Kaleya and Seki Sekioni David.
4 ·  · 

No comments: