Mashariki mwa Uganda ambapo idadi ya watu waliofariki kutokana na maporomoko ya ardhi yaliotokea jana (25.06.2012) imeongezeka na kufikia zaidi ya watu 100, huku wengine wengi wakiwa hawajulikani waliko.
Kwa sasa shughuli za uokoaji zinaendelea katika eneo hilo, huku kukiwa na changamoto kubwa kufuatia matope mazito yaliozunguka eneo hilo.
Chanzo: DW swahili
No comments:
Post a Comment