Tuesday, June 12, 2012

RAIS KIKWETE, NAPE NA SLAA..... HIKI KICHEKOOO...... SAFI KWELI

Hapa walikutana katika shughuli za kuaaga mwili wa Bob Makani

Maoni yangu; Kama wao wakikutana wanacheka namna hii; na kama vicheko hivyo nivya dhati mioyoni mwao.... basi hakuna haja ya sie "nyasi" kuumia kwa kuwa mafahali hawa wanajua wanachokifanya

No comments: