Tuesday, June 12, 2012

LEOA MAMBO YANAANZIA HAPA HATIMA YA MAISHA NA MAENDELEO YA MTANZANIA KWAMWAKA MZIMA 2012/2013 VITAJADILIWA KUPITIA BAJETI


TUTAKUWA NAWE KATIKA KUKUJUZA YANAYOENDELEA HUKO AMBAPO TUNATARAJI:-

Serikali inapendekeza Bajeti ya TZS 15 trilioni(USD 8.75 Billion) katika mwaka 2012/13. Uchambuzi wa vitabu vya Bajeti unaonesha kwamba mafungu ya juu 5 kwenye Bajeti ni Kama ifuatavyo;
1    Huduma kwa Deni la Taifa          Tshs 2.7 trilioni(USD 1.69 Billion)
2    Wizara ya Ujenzi.                          Tshs 1 trilioni (USD 625 Million)
3    Wizara ya Ulinzi                          Tshs 920 bilioni (USD 575 Million)
4 Wizara ya Elimu                              Tshs 721 bilioni (USD 451 Million)
5    Wizara ya Nishati na Madini    Tshs 641 bilioni (USD 400 Million)
 TOTAL                                        TZS 5.982 Trilioni(USD 3.74 Billlion)
kwa mujibu wa zitto kabwe kwenye word press yake

No comments: