Friday, May 18, 2012

MWAKA WA KWANZA KOZI YA MAWASILIANO YA UMMA (SAUT MWANZA)WAICHANGIA TIMU YAO LEO KWA AJILI YA MASHINDANO YA FAWASCO

Bwana Samweli Chamlomo (alievaa jezi ya stars) akiongoza harambee hiyo
Batolomeo Chilwa , msemaji wa timu akisitiza jambo wakati wa harambee hiyo
Batolomeo Chilwa

Philipo na Shija , wakimtazama mmiliki wa mtandao huu akitoa mchango wake piaAliesimama, Godluck Ngai.. akiendelea kupokea michango

Ngai, Lusinde na Mariam wakiendelea kucheki mahesabu ya fedha

Jembe, aka Seifu Slavia.. akiawa na mtoto mzuri Jonia..
wakifanya mahesabu kwa kutumia kalkuleta ya simu

Alievaa suti, Mama mchungaji aka.... Neema Moses
Jamaa wa katika ni  aka Magufuli... anashangaa jambo ingawa mshiko nao duuuuh
Mwalimu Chonya...Mwenye shati jeupe...MC CHONYA.. waweza wasiliana
nasi pia kama utahitaji huduma yake ya U'MC..huyu nae alikuwepo kuhanikiza Harambee

MASS COM OYEEEE !!!! Wadau Stella, Noela na Mage...

Jamaa wanapongezana baada ya kufanikisha zoezi....

No comments: