Wednesday, May 30, 2012

MASIKINI TAYLOR.... 50 JELA

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita ya mjini The Hague, leo imemhukumiwa miaka 50 jela aliyekuwa rais wa Liberia Charles Taylor.

Baada ya kesi iliyodumu miaka sita, Taylor alipatikana na makosa kumi na moja ya kufadhili na kusaidia waasi nchini Sierra Leone, ili apate madini ya almasi.

Bwana Taylor ni kiongozi wa kwanza wa zamani kuhukumiwa na mahakama ya kimataifa tangu kumalizika kwa vita vya pili.
Utaratibu wa rufaa unaweza kuchukua miezi 6.

SOMA HAPA KWA KIDHUNGU


Liberia's ex-President Charles Taylor has been sentenced to 50 years in jail by a UN-backed war crimes court.

Last month Taylor was found guilty of aiding and abetting rebels in Sierra Leone during the 1991-2002 civil war.


The prosecution at the Special Court for Sierra Leone wanted an 80-year prison term, which the defence said was excessive.

Taylor, 64, insists he is innocent and is likely to appeal against the sentence

The appeal process could last up to six months, the BBC's Anna Holligan in The Hague reports.

No comments: