Thursday, May 24, 2012

KUMBE HAWA WANA USWAHIBA ..... SAFI SANA HII NDIO TUNATAKA

Mbunge wa Kawe Bi. Halima Mdee na Mwl Mkuu wa Shule ya Msingi Mbezi Juu (kushoto) katika picha ya pamoja na Maafisa wa NMB, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa madawati toka NMB kwa shule hiyo jana 23/05/2012 (Pich a.. wall ya facebook yaShyrose)

No comments: