Monday, May 28, 2012

KIONGOZI WA UAMSHO ZANZIBAR... AKANA KUKAMATWA NA POLISI

>Akana kukamatwa na polisi Zanzibar , asema jeshi la polisi ni waongo
>Asema yuko huru na anaemlinda ni Mwenyezi Mungu
>Azungumza na Radio Iman
>Kiongozi wa jukwaa la katiba Shekhe Mohamad Issah, aonya wananchi kuwa makini na vyombo vya habari vinavyopotosha taarifa
>Mwingine (Imam Hamza wa Mwanza) asema vyombo vya habari havijawahi kuripoti  ukweli juu yanayoendelea zanzibar, asema madai ya wazanzibar ni ya uhakika

No comments: