Tuesday, May 15, 2012

JIONI HII MALIMBE MWANZA : HUU MTINDO WA KUGEUZA MAGARI UTAKUJA KUUA WALIPA KODIPicha zote na eliamigongo.blogspot.com
Gari hili limekutwa na dhahama hii leo jioni majira ya saa 10:30... ambapo dereva wake alitaka kuligeuza ili aanze safari ya kuelekea mwanza mjini...ndipo lilipomshinda na kutumbukia mtaroni. Hakuna majeruhi, gari hili hufanya safari zake MZUNGUKO - MNANGANI

No comments: