Sunday, May 20, 2012

FAWASCO SAUT MWANZA .... BINGWA NI BAED 2(WANAFUNZI WA UALIMU SAUT MWANZA)

Tsh 15 MILIONI  WANAHUSIKA NAYO ...KUSAFARI HADI RWANDA
WATOA KIPA BORA WA MASHINDANO PAMOJA NA KOCHA BORA WA MASHINDANO
MSHINDI WA PILI ATAENDA NAIROBI KENYA (pamoja na TShs 9 Milioni) NI MAWASILIANO YA UMMA
MCHEZAJI BORA ATOKEA MAWASILIANO YA UMMA

hicho kikombe cha katikati aiseee.....

Captain wa mabingwa akikabidhiwa kombe na mgeni rasmi, makamu mkuu wa chuo Fr. Dkt Charles Kitima


MABINGWA MARA MBILI MFULULIZO...HAWA NDIO WASHINDI WA PILI.... WAANDISHI WA HABARI

MGENI RASMI... Fr CHARLES KITIMA (mwenye suti nyeusi) AKIWA NA JOPO LA MEZA KUU

MECHI ILITANGAZWA MOJA KWA MOJA NA RADIO SAUT FM 96.1
No comments: