Monday, May 21, 2012

21 May 1996.... TANZANIA ILIKUMBWA NA MAJONZI MAKUBWA ....NI KUZAMA KWA MV BUKOBA KATIKA ZIWA VIKTORIA

SUPER MODEL .. AKABIDHI MAJAKETI 500 YA KUOKOLEA WATU, NI KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MAMA YAKE PIA,..


Flaviana Matata akikabidhi Maboya ( LIFE VESTE) 500 kwa Shirika la Meli la Taifa (Marine Services Co Ltd) kama sehemu ya kumbukumbu ya MV Bukoba
LEO ni miaka 16 tokea meli hiyo ilipozama , ambapo takriban watu 1,000 akiwamo MAMA YAKE FLAVIANA



MV Bukoba ikizama



BAADHI YA MAKABURI YALIOFICHA MIILI YA NDUGU ZETU






MAJINA YA WALIOKUFA KATIKA AJALI HIYO.... YAPO KWENYE MNARA ULIOPO PEMBENI KIDOGO MWA ZIWA VICTORIA

No comments: