Tuesday, March 20, 2012

NYUMBA 16 ZABOMOKA MWANZA KUFUATIA MVUA ZILIZONYESHA JANA

MVUA KUBWA iliyoambatana na upepo iliyonyesha jana jijini mwanza, imesababisha uharibifu wa baadhi ya miundombinu na mali za baadhi ya wakazi, wa jiji hilo

Hii leo takribani nyumba 16 zilizo katika mtaa wa bugarika kata ya mahina jijini humo zimeshudiwa zikiwa zimebomoka kutokana na mvua hiyo, na kuwaacha wamiliki wa nyumba hizo wakikosa, makaz

Mwenyekiti wa mtaa huo bw: juma william, ameiambia radio saut fm kuwa, hakuna mtu yeyote aliyefariki dunia ama kujeruhiwa, wakati wa kadhia hiyo

BW: WILLIAM, ametaja baadhi ya miundombinu iliyoharibiwa na mvua hiyo kuwa ni pamoja na vyumba vinne vya madarasa ya shule ya msingi igelegele, iliyo katika mtaa huo wa bugarika…

No comments: