Sunday, March 18, 2012

DR. SLAA NDANI YA MWANZA,


ALIPOZUNGUMZA NA WANACHAMA WAKE WA SAUT NA WAKAZI WA NYAMALANGO JIJINI MWANZA  ;----

 >>> Ashangaa rais kwenda kuomba msaada wa vyandarua, huku anapishana na ndege zilizobeba dhahabu ya Tanzania

>>> Ashnagaa nchi kuwa na madini ya Tanzanite , ila haiongozi kuyauza katika soko la dunia

>>> Aponda pia uchumi "Mbovu"

No comments: