Saturday, February 25, 2012

AL SHABAAB 6 WAUAWA

KWA MUJIBU WA MTANDAO WA BBC.....

Wapiganaji 6 wa kigeni wa kundi la Kiislamu la Al-Shabaab wameuawa kwenye shambulio la anga lililotekelezwa Kusini mwa Somalia.

Walioshuhudia tukio hilo wanasema, watu 6 waliuawa wakiwemo raia kadhaa wa kigeni.

Magari mawili yaliharibiwa wakati wa shambulio hilo la anga lililofanyika katika eneo linalojulikana kama K60 takriban 60km kutoka mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu.

No comments: