Sunday, February 28, 2010


  • WANAFUNZI WA DSJ WAENDA STUDY TOUR:-
  • *serikali yao yawaibia pesa
  • *rais asema ni makosa ya kiufundi
  • *mpinzani wake asema kwenye kampeni aliwatahadharisha wananchi...........

ule utaratibu wa kwenda 'study tour" kwa wanafunzi wanaojiandaa kumaliza masomo yao mwaka huu umefanyika tena,mara hii umewahusisha wanafunzi wa ACC20 B,nakusudia ngazi ya cheti.

Katika hali ambayo wengi hawakuitarajia kutoka kwa serikali yao ambayo waliitegemea kuwa mtetezi wao kwenye mambo mengi yanayo wakabili wakiwa katika masomo yao,sasa serikali hiyo imegeuka fisadi nakuanza kuiba kiasi kidogo cha uchumi cha wanafunzi hao.

Safari ya Moshi mwaka huu imewatoa imani badhii ya wanafunzi baada ya kuona serikali yao inawafanyia ufisadi,pale ambapo serikali ilipowatoza kiasi kikubwa cha pesa kuliko gharama halisi za nyumba ya kulula ambayo wana tour hao walipangishiwa,jumla ya shilingi elfu mbili za zaidi ya wanafunzi ishirini ziliwekwa kama cha juu na mmoja wa viongozi wa serikali ya rais Mpayo.

No comments: