Wednesday, January 22, 2014

MBUNGE AFARIKI DUNIA ASUBUHI HII

Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu.Ofisi ya Bunge inaendelea na Taratibu za mazishi/maziko baada ya kuwasiliana na ndgu wa marehemu.
Taarifa hii via Ridhwani Kikwete kwenye facebook

No comments: