MWENYEKITI ALONGA:-
Asema serikali inayotoka kwenye mfumo wa chama kimoja inatabia ya kuogopa vyombo vya habari
Kwa kuwa pamoja na mahakama ndio kimbilo la wanyonge
Aisifu radio SAUT kwa kujielekeza kuwasaidia wananchi wanyonge na kujikita katika kuwa SAUTI YA WASIO NA SAUTI
Ataka waandishi wawe walinzi wao kwa wao kuyatetea maadili ya taaluma
Mwenyekiti wa MCT akiwasili Radio SAUT Fm, kulia ni mkurugenzi wa radio hiyo |
Mkurugenzi wa Radio SAUT, Dotto Bullendu ,akitoa maelezo ya awali katika kikao kati ya wanataaluma na mwenyekiti wa MCT |
Mwenyekiti wa MCT, Jaji Thomas Mihayo, kulia ni Bi ose Haji wa UNESCO, wakisikiliza maswali ya wanataaluma wa SAUT FM |
Mdau, upcoming journalist Msonde Abdul, akitoa dukuduku lake mbele ya mwenyekiti wa MCT |
Wanafunzi wa SAUT MWANZA na waandishi na watangazaji wa Radio SAT katika picha ya pamoja na wajumbe na mwenyekiti wa baraza la habari MCT. |
No comments:
Post a Comment