Friday, May 4, 2012

MAONI YA MDAU ....ODERO C. ODERO JUU YA BARAZA LA MAWAZIRI...


Bw, Odero C Odero,


Alichofanya Rais ni kubadilisha sura za watu kwani kilichokuwa kinalalamikiwa ni ubadhirifu wa mali ya umma, na baadhi ya walalamikiwa wamebadilishwa wizara; Mfano Jumanne Maghembe, George Mkuchika.

Na katika hotuba yake Rais hajawaambia watanzania hatua akazochukua dhidi ya ubadhirifu uliofanyika.

No comments: