Sunday, May 13, 2012

MAN CIYT BINGWA BACLAYS PRIMIER LEAGUE .... SIMBA YATOLEWA KWA PENALT

POLE
Wekundu wa msimbazi, Timu ya Simba ya Dar es salaam Tanzania, Leo imeshindwa kuutetea ushindi wake wa goli 3 kwa bili ilioupata hapa nyumbani... baada ya kuruhusu goli hizo zote kurudishwa wakikipiga na Al ashandy huko mjini Shandy Sudan.  Katika mchezo huo ambao ulimalizika kwa penalt takribani 9 zikipigwa kwa kila timu , ambapo kwa upande wa Simba Kapteni wa timu hiyo Juma K Juma alikosa penalt ambazo zilifikia hatua ya piga nikupige.
Katika mchezo huo Simba ilihitaji ushindi wa SARE ya aina yoyote ile kuiwezesha kusonga mbele.
Kwa matokeo hayo Simba ambayo ni mabingwa wapya wa Ligi kuu ya hapa nyumbani Tanzania wametolewa na kuipa nafasi Shandy kusonga mbele katika hatua ya 16 bora.
FURAHA

Kikosi cha Man City

No comments: