Jakaya Kikwete
Leadership = an opportunity to work for the people, to serve the people, to make a difference, to do it better.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Nape Nauye (Mtoto wa kuli)

Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi nampongeza Rais Jakaya M. Kikwete kwa uteuzi wa... Baraza la Mawaziri, hakika uteuzi huu umezingatia ushauri,maoni na mawazo ya Chama. Na pia napenda kuwapongeza Mawaziri wateule na pia kutoa wito kwa Mawaziri kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa na kwa kutekeleza Ilani ya Chama kwa maslahi ya Taifa.
HONGERENI SANA...!
>>>>>>>>>>>> STORY ZAIDI ZINAENDELEA KUJA >>>>>>>>>>
No comments:
Post a Comment