Wanachama na washabiki wa CDM. |
MWANZAAAA... PEOPLES POWER...
Msimamizi wa uchaguzi huo, Bw. Aloyce Mkono, amemtangaza kuwa mshindi mgombea wa Chadema Bw, Dany Kahungu kwa kura 2,938 dhidi ya mgombea wa CCM Bw, Jackson Masamaki aaliyepata kura 2,131.
HUKO ARUMERU-MASHARIKI
Msimamizi wa Uchaguzi na Mkurugenzi wa Wilaya ya Arumeru Bw Gracias Kagenzi amemtangaza mgombea wa CHADEMA Bw Joshua Nassari kuwa mshindi baada ya kupata kura 32,972 dhidi ya mpinzani wake wa karibu kutoka CCM Bw Sioi Sumari aliyepata kura 26,757
Vyama vingine sita vilivyosimamisha wagombea wake huko ...
DP -77
NRA - 35
AFP - 139
UPDB - 18
TLP - 18
SAU - 22
Kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi huo , Bw Kagenzi zaidi ya watu 120,000 walijiandikisha na aliojitokeza na kupiga kura walikuwa 60,696 ambapo kura halali zilikuwa 60,038 na zilizoharibika ni kura 661.
No comments:
Post a Comment