Thursday, April 26, 2012

SAUT MWANZA.......NI MALISA.. ... ANTHONY ABWAGWA

RAIS MTEULE... SAUT MWANZA... Bw, Godlisten Malisa...
APATA KURA.. 2424....
ANTHONY...APATA KURA..1075...
MASS COM... walinda kura mwanzo mwisho
HUJUMA ZA kuingingiza kura feki zashindikana
ATAKA APEWE RIPOTI  ya fedha saa 48..baada ya kuapishwa ,...kisa harufu  ya ubadhirifu
JINA LAKE "GODLISTEN" latafisirwa kama MUNGU KAISIKIA MASS COM baada ya kutokuwa na rais kwa muda merfu..

No comments: